Hebrews 1:8

8 aLakini kwa habari za Mwana asema, “Kiti chako cha enzi, Ee Mungu,
kitadumu milele na milele,
nayo haki itakuwa fimbo ya utawala
ya ufalme wako.
Copyright information for SwhKC